Msaada;concept ya alternation of generation

Patiee

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
474
Reaction score
720
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hii kitu anisaidie.

Kuna vitu kama sporophyte na gametophyte generation vina nichanganya ktk hii concept..

Pia jinsi gani life cycle ya mimea kama ferns,pines,liverwort n.k zinakua involved kwenye alternation of generation

Naomba tu dig deeper kwenye maelezo
 
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hii kitu anisaidie.

Kuna vitu kama sporophte na gametophte generation vina nichanganya ktk hii concept..

Pia jinsi gani life cycle ya mimea kama ferns,pines,liverwort n.k zinakua involved kwenye alternation of generation

Naomba tu dig deeper kwenye maelezo
Kam consult mwalimu wako akuelekeze mahala ambapo hujaelewa.
 
Kama unasoma biology hapo concept inaeleweka kirahisi tu. Kuna sporophyte generation na gametophyte generation.

Sporophyte generation ni pale ambapo plant inatoa spores ambazo zikianguka zina germinate kuform plant

Gametophyte generation ni pale ambapo Ile plant iliyokua formed kutokana na spores inatengeneza gametes ambazo zinafuse kuform plant ambayo itakuja kutoa spores

Kwahiyo hizo generations zitaenda zikibadilishana na lengo likiwa ni kuendeleza uwepo wa hiyo specie

Ukubwa wa hizo generations unategemea na uwepo wa maji. Mfano moss plant huwa inakua sana maeneo yenye unyevu Kitu kinachorahisisha movement ya gametes. Kwahiyo katika moss plant gametophyte generation ni kubwa kuliko sporophyte.

Ferns huwa zina grow maeneo yenye kivuli na unyevu kidogo Kwahiyo si rahisi gametes kumove. So katika ferns sporophyte generation ni kubwa kuliko gametophyte generation.

Soma BS kijana imeeleza vizuri tu. Nilisoma zamani kidogo na niliachana na hayo mambo Kwahiyo maelezo yangu yanaweza yasiwe sahihi kwa 100%.
 
Classification of livingthings uko sahihi brother
 
Back
Top Bottom