Msaada: Computer yangu inashindwa kuwaka

josiah k

Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
94
Reaction score
229
Habari Wakubwa,

Nimepata tatizo katika computer yangu "desktop" HP nilikuwa naitumia vizuri vizuri ila ghafla nimekuja kuiwasha inaonyesha taa imewaka ghafla inazima halafu inawaka tena.

Mfano: Ukiiacha hivyo inaendelea kujiwasha na kujizima na wakati mwingine unaweza kuiwasha ukasikia kama ile feni ndani ya CPU inawaka tu.

Kwa anayeweza kufahamu tatizo tafadhali naomba anisaidie kunishauri

Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
vip kwenye kioo ina display chochote??? ni hp model gani???
Sijajua ni model gani mkuu! Ila ni ya mwaka 2005! Unapoiwasha monitor inawaka halafu inazima kwa kuwa inakosa support kutoka kwenye CPU!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…