Habari Wadau,
Jana Usiku Mvua Kubwaa Ilinyesha Sasa Mimi Nipo Chuo Nikaacha Laptop Ya Dell Vostro 1540 Nyumbani Karibu Na Dirisha!
Dirisha Lilikua Wazi Mvua Ilinyesha Masaa Mawili Consecutively Kurudi Nilikuta Imelowa Maji Yanatoka Kupitia Ports Za Usb Na Fans.
Nakumbuka Wakati Nimeiacha Ilikua Imehibernate Na Nilikua Sijaifungua Kwaiyo Maji Hayakugusa Kwenye Keyboard Ila Yaliingia Kwenye Screen.
Kurudi Ilikua Imeshajizima Nilichofanya Ni Kutoa Battery !
Paka Sasa Sijaiwasha..
Kwakweli Wakuu Nimepanick Mnoo Nipo Njiaa Panda Nilijaribu Kugoogle Na Kwenda YOUTUBE Kuangalia Cha Kufanya Niliambuliwa Kuambiwa Niiweke Upside Down Ili Maji Yatoke Kwa Gravity!
Ambayo Niliweka Usiku Mzimaa.. Naomba Mnisaidie Cha Kufanya Nini Laptop Yangu Naipenda Mnooo Kuliko Kitu Chochote!
Najua Huku Experts Mpoo Wengii.
Natanguliza Shukurani Za Dhati!
Ahsanteni!