msaada computer screen imekuwa nyeusi

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
wana jf naomba msaada katika kugusa gusa kwenye setting za appearance nimejikuta nimeweka rangi nyeusi hivyo screen yote ni ya rangi nyeusi hivyo siwezi kubadilisha ili niweke aina nyingine ya appearance kwa sababu comp hainionyeshi chochote isipokuwa icons zenye rangi tifaiti na nyeusi sasa nifanyeje?
 
Badilisha Themes iwe Windows xp ikikataa fanya System restore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…