msaada computer screen imekuwa nyeusi

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
wana jf naomba msaada katika kugusa gusa kwenye setting za appearance nimejikuta nimeweka rangi nyeusi hivyo screen yote ni ya rangi nyeusi hivyo siwezi kubadilisha ili niweke aina nyingine ya appearance kwa sababu comp hainionyeshi chochote isipokuwa icons zenye rangi tifaiti na nyeusi sasa nifanyeje?
 
Back
Top Bottom