[quote uid=40281 name="Ziroseventytwo" post=17406083]Natumia galax s3. Nilicopy kitu namaambiwa "copied in clipboard. Kila nikitafuta nilichokicopy sikioni kwenye cm. Hii clipboard iko wapi kwenye cm yangu?

ushamba kweli mzigo[/QUOTE]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] clipbrd hiyo ni sehem ambapo data huifaziwa kwa muda pale mtumiaji wa device anapotaka kuikopi kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Na wala si kitu cha ajabu kama uhisivyo.

Wewe nenda sehem yeyote paste kitu chako kitatokea.

Tukisema kuwa ni KWA MUDA maan yake ikitokea ukakop kingine cha mwanzo kinatolewa au kuzima simu kinapotea