Nakushauri kuwa uende kuomba kujiunga na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kwani kwenye hiyo sekta kina walimu waliobobea, wataalam, na zaidi utapata exposure ya kutosha kutokana na wengi wao kuwa walishafanya kazi na taasisi kubwa za kihasibu, kibiashara na wamesomea hadi ngazi ya Phd.
pia hata mitihani ya bodi, wanafunzi wa IFM wanafanya vizuri zaidi ukilinganisha na vyuo vingine vyenye somo hilo. pia its a place ambapo kuna changamoto nyingi kama za kifedha kutokana namaisha ya mjini kuwa ghali, kijamii kutokana na uwepo wa aina mbali mbali za watu na tabia tofauti za kimjini kama starehe, mapenzi etc so hapa inabidi ujiangalie ujipange vizuri kama utaenda.