Msaada: Chuo kizuri cha uhasibu Dar es Salaam

starj4

Senior Member
Jul 2, 2016
143
21
Natumaini wazima Wa afya dhumuni LA Uzi huu nikama ifuatavyo: Nimemalza certificate ya uhasibu nahitaji msaada Wa CHUO kizuri ambacho nitaaza diploma kiwe na possibility ya urahisi hata nitakapohitaji kuomba kazi ya fani hyo kiwe ndani ya Dar es Salam kwa kuwa binafsi ndipo nilipo, asante.
 
Nakushauri kuwa uende kuomba kujiunga na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kwani kwenye hiyo sekta kina walimu waliobobea, wataalam, na zaidi utapata exposure ya kutosha kutokana na wengi wao kuwa walishafanya kazi na taasisi kubwa za kihasibu, kibiashara na wamesomea hadi ngazi ya Phd.

pia hata mitihani ya bodi, wanafunzi wa IFM wanafanya vizuri zaidi ukilinganisha na vyuo vingine vyenye somo hilo. pia its a place ambapo kuna changamoto nyingi kama za kifedha kutokana namaisha ya mjini kuwa ghali, kijamii kutokana na uwepo wa aina mbali mbali za watu na tabia tofauti za kimjini kama starehe, mapenzi etc so hapa inabidi ujiangalie ujipange vizuri kama utaenda.
 
Wanachukua Wanafunzi wa arts kwa certificate!?
 
Asante sana pia VP kuhusu CHUO cha tax mwenge...? Kama una any information nasikia pia kinatoa uasibu
 
Nakushauri bila kupoteza muda njoo chuo cha T.I.A ndo chuo pekee bongo kinachotoa wahasibu ...wanaoheshimika huko maofisini ..na ndo chuo ambacho wanafunz wake wengi wanaongoza kwenye ufaulu wa mitiani ya body ...
Trust me bro Tanzania institute of accountancy ..ndo penyewe
 
Broo kati ya T.I.A na I.F.M Kipi bora nakipi kiko vinzur katka mitihan ya body
 
Back
Top Bottom