Msaada: Chuo cha Uongozi wa mahakama Lushoto

Msaada: Chuo cha Uongozi wa mahakama Lushoto

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,296
Reaction score
96,555
Kijana amechaguliwa chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto, certificate. Mwisho wa kozi hiii ni upi? ie akimaliza anaendelea na nini (diploma, I guess ?????).
Hoja yangu: Je anaruhusiwa kuchukua sheria baada ya diploma?
 
Baada ya diploma kama anapenda ataweza kwenda bachelor of laws ,
 
Ila GPA mkuu usisau kumkumbusha ajitahid apate 3. na kuendelea
 
Ila GPA mkuu usisau kumkumbusha ajitahid apate 3. na kuendelea
Nashukuru sana. amepata hapo certificate. Nimemweleza kuwa ana njia ngumu kufikia degree kwa level aliyoanzia
 
At
Nashukuru sana. amepata hapo certificate. Nimemweleza kuwa ana njia ngumu kufikia degree kwa level aliyoanzia
ata sio ngumu chief mwandalie tu hela nzuri ya matumizi na statitionary.
 
Nashukuru sana. amepata hapo certificate. Nimemweleza kuwa ana njia ngumu kufikia degree kwa level aliyoanzia
Kwa huu uchumi wa viwanda unaoongozwa na kichaa, kada ya sheria ina dili sana...
 
Back
Top Bottom