Msaada; chuo cha nursing mbozi mission

Msaada; chuo cha nursing mbozi mission

Nyrum

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
124
Reaction score
41
Habar wapendwa. kuna ndug yangu alimalza form four mwaka 2006, alisoma masom ya sayansi. na matokeo yake alipata kma ifuatavyo Physics F, chem D, Biology D, English D civics C. sasa anataka akasome certificate ya Nursing and Midwives katika chuo cha goverment cha Mbozi pale. Plz kwa anaejua anibrief nijue qualification zake na kwa alivyopata atapokelewa?! maombi yanatumwa wapi? na ada ni kias gan? Tafadhali nisaidien!!
 
Back
Top Bottom