Msaada chuo cha kilimo UKIRIGURU!

Charles Elias

Member
Aug 14, 2012
61
4
Wana JF,naomba mnisaidie(kwa wanaofahamu) matokeo ya selection ya chuo cha kilimo Ukiriguru.AHSANTEN!
 
Duh!Pole sana mkuu kama vipi cheki contacts zao kupitia website ya wizara ya kilimo uwapigie uwaulize.

Nimefanya ivo mkuu! Tayar nmeliona jina la jamaa yangu amechaguliwa hapo.Shukran xna kwako kutoka kwa jamaa yang hku! M nmepelekwa Duce ila cjaelewa jins ya kupata joinng instrctn had sasa,kama una uzoef na hlo suala tafadhar nsaidie.
 
Hapana aisee,sina details zozote kuhusiana na hivi vyuo vya kilimo!
 
Back
Top Bottom