Tafathali mwenye kuweza kunisaidia kupata chumba kimoja tu cha kupanga mjini arusha ili niwe nafikia niendapo kibiashara ntashukuru.madalali pia humu janvini nisaidieni,napendelea kwa mromboo maana huko nina marafiki zangu wengi wanaoweza kunichungia chumba wakati napokua sipo.iwe na umeme,maji,fensi na mazingira yanayoizunguka nyumba iwe safi haswa haswa choo kama kitakua ni cha nje.ahsanteni