Msaada Chapu chapu

A Asante mkuu
 
Ulikamia mechi na ukapaniki sababu ya hayo matako unayosema yanazidi ya mpenzi wako wa chuo
 
Jalibu kunywa chai ya tangawizi lisaa limoja kabla ujaenda kwenye show
 
Fikiria masomo chuoni!acha ngono kijana....ukumbuke ukimaliza chuo hakunaa ajira
 
Vijana wa siku hz mbona mnasumbuliwa sna na matatizo haya jaman, mbona zamani hayajakuepo.

Hapa nawaza tu itakuaje ukioa mdogoangu, pole sna
 
Hukuweza kupiga hata goli la samaki.

Acha kuangalia porn man

Punguza kupiga punyeto maana kuacha hutoweza
 
bila picha ni hadithi za kufikirika
 
Hiyo namba moja haiwezi kuwa sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…