MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,732
- 2,714
29yrs
cjakuelewa...Badilisha spare mkuu gorori zimeisha hizo au jaribu kumwaga oil after one week....ngoma itakaaa sawa....vip haitoi sana mosh kwenye stater brother
Inshallah mzee ntamtafta huyo fish, pia tizi napiga sana nimeamua kupunguza tu manake nikifanya mazoez sana huwa nachoka miguu inaisha nguvuJitahidi kula sana Sea food. Ukimpata samaki anaitwa Sea Horse uwe unamloweka kwenye chai/juisi/supu hilo tatizo litaisha na kupiga zoezi
LolUkiamka zikate kofi hizo goroli ziwe vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23]inaposimama kila asubuhi inakukumbusha kwamba kila asubuhi inatakiwa uamke kufanya kazi [emoji23][emoji23][emoji23]p***s
Huwa haipendezi kwny mada serious kama hizi kuleta utani.Ukiamka zikate kofi hizo goroli ziwe vizuri
ni PM mkuu mie nikijarbu inakataaHyo ni anxiety ama depression mzee..
Naweza kukusaidia kupona depression pamoja na anxiety kwa gharama ndogo mkuu.
Check me via @Meditation30@protonmail.comHabari wapendwa kama mada hapo juu inavyosema nina shida ya kupata morning wood(kusimama) asubuhi au naweza simama kwa tabu sana.
Nakumbuka last year nilileta mada hapa kukosa hamu 6×6 km mtaikumbuka. Basi toka mwaka uanze morning woods mekua napata kwa tabu hata nkipata sio ile chuma chuma je (ni upungufu wa homoni), mawazo au anxiety pia hata nkiwa 6×6 kuna mda naenda nganganga kuna mda ngoma inazimika sana inachukua mda au ndo ntolee.
Nimepitia depression kali since last year mpka now this kidgo meanza kukaa sawa ndo mekua mtu ON and OFF sometimes nkikaa alone Chuma inasimama safie kuna mda inaweza kaa siku ikasimama kidgo sana afu asubuh inasimama inaweza isimama kabisaa, ila nina vitu huwa vina karahisha mda mwingine miguu inapata bardi au kufa ganzi asubuh sio kila siku lakini pia hata intercourse yangu imekua ya zimamoto sana sometimes nina vibe sometimes vibe sina.
Kwa wiki hua nafinya mara 2 au 3 ina tegemea ila kuna vitu vinanitokea loss of muscles, fatigue, low energy mda mwingine, concentration inapungua sana sio kazin tu hata nkiwa na my wangu I dont know ndo anxiety kuna mda, mpka, napanic nawaza, vingi cjui ndo cna nguvu but no porn no masturbation ila nina pungua, weight na, nakosa, nguvu miguu pia, inachoka nkifanya, mazoezi nimetumia supplement ginseng, ginko biloba, may be, zipunguze anxiety atleast
Naomba shauri wenu maana sielewi.
sijaenda ila last time nilipima thyroid nakumbuka nkawa sinaHospital umeenda mkuu? Kuna watu wamesomea haya mambo....
Kuna specialists wanauzoefu na haya mambo nenda tu kaka, huwezi jua suluhisho lilipo. Miaka 29 naona bado kijana kabisa haya mambo yanatibika ila ndo uwahisijaenda ila last time nilipima thyroid nakumbuka nkawa sina
nkapima pia biochemistry everthing is Ok chorestrerol iko poa. ilibaki nipime mavitu mengine sema bima ika Expire