Msaada: Chaguzi za kidato cha kwanza 2018

Msaada: Chaguzi za kidato cha kwanza 2018

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,159
Reaction score
96,225
Naomba kujua kama serikali imetanga majina ya waliochaguliwa kidato cha kwanza 2018
 
Bado mkuu hawajatoa, mwanyewe nayasubiria yatoke
 
We mbona uko shapu kusambaza haka kalink tena makusudi wakati unajua kabisa unajua ni mkoa mmoja tu. Bila shaka kuna namna unafaidika maana nimekuona kila Uzi ulioanzishwa umekuwa very fast kulete haka kalink uchwara
poa ngoja niondoe
 
Back
Top Bottom