Msaada: chaguo zuri kati ya oneplus 6 na galaxy s9 plus

Msaada: chaguo zuri kati ya oneplus 6 na galaxy s9 plus

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
479
Reaction score
259
Nimekuwa mtumiaji wa samsung smartphones tangu galaxy s2, sasa nafikiria kubadili brand, kupata new expirience. Nimevutiwa na hii oneplus 6 ina specs nzuri, na good reviews but sina uhakika kuhusu reputation yake, na ubora wake in the long term.

Wataalamu wa hizi mambo naomba ushauri hapo, should I go for oneplus 6 or s9 plus?

Note: siko interested na iPhone, ecosystem ya iOS haikidhi mahitaji yangu.
 
Ni nzur...kama unataka jarbu kutoka nje ya samsung..bas oneplus 6 bonge moja la flagship
 
oneplus ni kwa wale wanaotaka flagship specs kwa bei rahisi, kama budget yako ni kubwa inaweza kununua simu yoyote kuna option za htc, lg na sony kwenye pricepoint ya hio s9, ila overall flagship za samsung zinakuwa nzuri zaidi.
 
If you care about the camera, then S9+ is the best of the two. If you care about software and updates, speed,OnePlus 6 is the best of the two, that’ll.
 
chukua one plus 6 ambayo ni pure android na inapata updates haraka tofauti na wengine mpaka wazichuje kwanza
 
oneplus ni kwa wale wanaotaka flagship specs kwa bei rahisi, kama budget yako ni kubwa inaweza kununua simu yoyote kuna option za htc, lg na sony kwenye pricepoint ya hio s9, ila overall flagship za samsung zinakuwa nzuri zaidi.
Dola mia tano bado ni bei rahisi?
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Dola mia tano bado ni bei rahisi?
yah kwa unachopata ni bei rahisi, unakuta 6gb ama 8gb DDR4 dual chanell RAM, Soc sawa na hizo simu kubwa na storage pia inakuwa kubwa. sehemu ambayo unasave ni display na camera l, hutakuta display kali kama Iphone x na S9 au Camera inayoshindana na Kina P20 na pixel.

Vitz inauzwa bei kubwa kuliko hio dola 500 ila tunasema ni gari ya bei rahisi. urahisi ni uwiano wa hela unayolipa na kitu unachopata na sio figure unayotoa.
 
mkuuu unashauri vipi

nataka kuagiza iphone se au iphone 6 nichukue ipi nzuri zaidi
 
Iyo oneplus watu watakuwa wanakuona kama vile ulikuwa unataka kuchukua iPhone ila ukawa hauna hela, bora tu uchukue samsung s9 kama budget inaruhusu kwani ni superior karibu kila kitu kwa hizo iPhone na oneplus.
 
mkuuu unashauri vipi

nataka kuagiza iphone se au iphone 6 nichukue ipi nzuri zaidi
kama simu ndogo haikukeri agizia iphone se,

se inatumia soc moja na iphone 6s hivyo ki specification ni nzuri kuliko iphone 6. kuanzia processor, gpu hadi ram iphone se inaipita iphone 6.
 
Back
Top Bottom