Habari Wana jf?? Nikitaka kupiga picha katika cm yangu inasem hivi "Camera has stopped unexpectedly need to restart" na hatimaye inafeli kabissa kupiga nishajaribu kui restore mara kadhaa ila tatizo bado lipo naombeni ushauri wenu wana jf Nn tatiz na nifanyaje? Ahsanteni Asubuh njema!!