Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo

yan hata sielewi. uzur wa mitindo huwa inajirudia. ipo siku watarud huku kwetu zilizonyooka chini. mbaya zaid hizi modo zinalazimisha mlegezo. hata kuwalaum wanaume wanaovaa boxer na mstari wa matako ukawa nje unashindwa kuwalaum. kuna wateja tumebaguliwa!