Sasatel ni rahisi kwa bando ndogo,1.5gb kwa tsh 7500 speed kali tu na ukimaliza una re activate,airtel ya 2500 ni nzuri kwa ku brose na kuchat kwa wasio heavy users,mimi huwa nakamaliza within 30 mins,voda wana service nzuri,hiyo ya wiki na mwezi i.e bomba,tigo siku hizi wanachemka,spid si nzuri,naona wamezidiwa,zantel wazuri ila tatizo lao ni ma limit kibao,mi naona watumiaji wa kawaida wa internet wanaona ni rahisi ila KWANGU NAONA GARAMA NI GHALI KWA KILA MTANDAO,MAANA MIMI NATUMIA HADI 2.5GB KWA SIKU KWA HIYO NI GHARAMA.