Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na haya mambo ya elimu ya juu! Nimefanikiwa kupata principles advance level PCM (ABC=6PTS), nahitaji kusoma either of above mentioned programme hivyo mawazo yenu yatakuwa msaada tosha kwangu.
Nitashukuru kwa mawazo yenu na Mungu awabariki.
Nitashukuru kwa mawazo yenu na Mungu awabariki.