Kwa wale waliofanikiwa kufika A-level
Kuna inshu ina nitatiza hapa 👉philosophy ideas of lenin & Karl Marx na philosophy ideas of Nyerere na Nkrumah .
Nimetafuta nimeshindwa na ticha kasema tutajua wenyewe
Pliz ndgu zangu nisaidieni🏃🏃🏃🏃🏃