Inawezekana unatumia software feki jaribu kudownload os ya apple na sio zile zilizochakachuliwa.
Habari za majukumu wana JF,Nina tatizo la computer yangu Imac 27" ghafla wakati naiwasha ikashindwa kuwaka ikabaki na white screen na logo ya Apple,nikaizima na kudisconect kill Kitu Kisha nikaunga tena safari hii ikawa nyeupe kwa muda Kisha ikawa blue,nimesoma kwenye mitandao mbalimbali nimeona Hili tatizo na maushauri yametolewa huko Lkn mimi sijapata solution, hivyo kwa mwanajamvi yeyeto mwenye uelewa wa hii Kitu tafadhali msaada wa haraka,Nina kazi za wateja nisipowakilisha kwa wakati watanitoa roho.......0713 758560 au hata kupitia humu humu jamvini nitashukuru pia.
Asanten.
Asante kwa ushauri mkuu,imebidi niipeleke kwa mtaalamu zaidi naye amesema itakuwa hardware problem so nasubiri kuona results...... Asante Sana.Jaribu kucheki OS kama Zech alivyo suggest sababu inaonekana ulii force kuzima may be kuna some file systems zime corrupt. Pia hakikisha its not a hardware problem labda uliidondosha bahati mbaya
Hiyo inatokana na kuzima ghafra kwa umeme hdd ime corrupt unachotakiwa unapowasha hold alt key then chagua kuboot through disc utility *si machine zote zenye image hiyo so kama haitakuletea optn hiyo tafuta flash au external iliyo na application ya disc utility then ukiwasha unahold alt key itakuletea option ya kuboot kwenye hdd yako na hiyo application then inachofanya itawaka through hiyo app na utarun disc utility kwaajili ya kurepair hdd yako.
Hilo ni tatizo la kawaida kwa imac