Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,641
- 9,279
Hyo app mkuuHabari! Nimekwama ndugu. Nahitaji blacklist app nzuri kwa simu ya Android.
Sifa
Shukrani.
- Mtu akipiga simu, aambiwe namba haipatikani au namba inajikata yenyewe (Call ended)
- Meseji isiweze kunifikia, isilete ujumbe wa derivery report kwake
Hzo ni codes mkuu. Ukipigiwa anayepiga anaambiwa hana Salio la kutosha na akirudia anaambiwa amekosea namba.Jina la app tafadhali km hautajali
SawaZijazeni jazeni kwanza Kesho nitakuja kuchambua app nzuri[emoji16][emoji16]
Hii ni kwq mitandao yote au ni kwa mitandao maalumu .Hzo ni codes mkuu. Ukipigiwa anayepiga anaambiwa hana Salio la kutosha na akirudia anaambiwa amekosea namba.
Lipa madeni ya watu mkuuHabari! Nimekwama ndugu. Nahitaji blacklist app nzuri kwa simu ya Android.
Sifa
Shukrani.
- Mtu akipiga simu, aambiwe namba haipatikani au namba inajikata yenyewe (Call ended)
- Meseji isiweze kunifikia, isilete ujumbe wa derivery report kwake
Nchi yytHii ni kwq mitandao yote au ni kwa mitandao maalumu .
Ni za Tanzânia tu au zinafanyakaz nchi yoyote?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hzo ni codes mkuu. Ukipigiwa anayepiga anaambiwa hana Salio la kutosha na akirudia anaambiwa amekosea namba.
Lipa madeni ya watu mkuu
Nimejaribu kwenye SMS ni kweli sms haziji, ila nime toa lakini bado haziji[emoji47][emoji47]Hzo ni codes mkuu. Ukipigiwa anayepiga anaambiwa hana Salio la kutosha na akirudia anaambiwa amekosea namba.
Unaweza kuta hata sio madeni anaogopa kugonganisha michepuko.Lipa madeni ya watu mkuu
Hii ni call baring, haifungi namba inafungia line nzima hata wengine wakikutafuta hawakupati
[emoji38][emoji38]Unaweza kuta hata sio madeni anaogopa kugonganisha michepuko.
Sio kweli, check vzr codes mkuuNimejaribu kwenye SMS ni kweli sms haziji, ila nime toa lakini bado haziji[emoji47][emoji47]
Hahahahahaha.... Kwa namba husika auHzo ni codes mkuu. Ukipigiwa anayepiga anaambiwa hana Salio la kutosha na akirudia anaambiwa amekosea namba.