Habari zenu wanajamii, kama hapo juu nilivyoeleza BlackBerry yangu inashindwa kutambua MENU za mitandao ya simu yaani ukitaka kuuliza salio au kuweka salio ukishamaliza kuweka namba mf. *102# au *104*23747488228# alaf ukibonyeza kitufe cha kupigia simu inapiga badala ya kukuletea MENU hivyo hivyo kwenye miamala ya fedha.
Wakuu wenye ufaham naomba anijuze