N ngarambe Senior Member Joined Apr 15, 2012 Posts 100 Reaction score 14 Apr 25, 2012 #1 Jamani waungwana nilikua na download nyimbo kutoka tubidy nilivyomaliza nikataka kuplay zikagoma nyimbo wote na video wote haziplay kbs. Hata ringtone imebadilika na kuwa ya tones ambazo ziko kwenye cm. Naombeni msaada
Jamani waungwana nilikua na download nyimbo kutoka tubidy nilivyomaliza nikataka kuplay zikagoma nyimbo wote na video wote haziplay kbs. Hata ringtone imebadilika na kuwa ya tones ambazo ziko kwenye cm. Naombeni msaada
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Apr 25, 2012 #2 Umejaribu kutoa memory card ukaijaribu kwa simu nyingine kama inafunction poa?!