Msaada biashara ya nguo za mtumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada biashara ya nguo za mtumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ruston8919, Aug 19, 2012.

 1. ruston8919

  ruston8919 Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari wakubwa mimi ni kijana mwenzenu nasoma chuo iringa mjini RUAHA UNIVERSITY, napenda kufanya biashara ya nguo za mtumba so naomba kwa yyt mwenye utaalamu au uzoefu mahali pa kupaia mabelo au jinc ya kupata mzigo mzur na bei zake na aina. nitashukuru nikipata majb mazuri wakuu na maelekezo kwa kina. likizo huwa nipo dar.
   
 2. ruston8919

  ruston8919 Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  msaada wadau nawasubiria mdogo wenu nko serious
   
 3. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Usubiri hapohapo watakuja tu.
   
 4. ruston8919

  ruston8919 Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sawa mkubwa
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Cha kukushauri achana na nguo za kiume hazilipi,chukua za madada ndio utapata faida!
   
 6. ruston8919

  ruston8919 Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  okey, vp wewe una uzoefu?
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,307
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  Mkuu nguo za mitumba zinatofautiana bei. kuna balo la laki2, 3, 4, 5 hadi laki sita na kuendelea. na balo lenye nguo za kike, kiume, watoto., mashuka, sidilia. chupi nk. kama utakua unauza kwa jumla freh lakini kama rejareja ni kuomba Mungu. Balo lenye nguo 200 nguo nzuri unakuta ni 80 na zinazo uzika ni 140 inategemea simetoka wapi kama ni china itakula kwako. je zinazo baki utazipeleka wapi?.
  USHAURI WANGU.
  Nenda kwenye minada ya nguo ununue moja moja inayo kuridhisha kisha upeleke golini kwako. mia
   
 8. ruston8919

  ruston8919 Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nashukuru nitafanyia kazi ushauri wako mkuu
   
 9. I

  Incredible JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 791
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 180
  Naweza kukutumia mzigo toka Canada. Hiyo ni moja ya line ya biashara yangu, lakini line kubwa ni used shoes na soko langu kubwa ni Phillipines.

  Nijulishe budget yako ni shillingi ngapi? sintoweza fikisha mzigo Iringa , nitaishia DSM. Je nitapataje pesa yangu? Naweza utuma kwa gharama zangu na wewe ukaja uangalia na kuulipia baada ya kutolewa bandarini. Ili kama utaona haukufai basi ukauacha. Nasema hivi maana nina uhakika na quality ya product zangu.
  Au ni PM tuweze ongea zaidi.
   
 10. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  unataka kufanyia katika soko gani,la jumla au soko la lejaleja?
   
 11. I

  Incredible JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 791
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 180
  je kama balo lenye nguo 200 na zote ni super yaani nzuri na zote from Canada, bei inasimamaje?
   
 12. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,979
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  hakikisha unafanyakazi, woga aibu weka pembeni..canada hiyo, ingia mp zungumza
   
 13. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45

  Naona kuna biashara hapa Mkuu, hebu mwaga data zote tuzifanyie kazi ili wadogo zetu wapate ajira. Naomba utujulishe balo moja la viatu lina pea ngapi kwa wastani na bei ni kiasi gani, muda gani wa kusubiri mzigo toka kutumwa mpaka kuupokea Dar na namba za viatu hivyo zinaanzia ngapi mpaka ngapi.
   
 14. I

  Incredible JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 791
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 180
  Viatu hivi nakusanya mwenyewe yaani ni hand-picked. Navinunua kwa watu. Vingine havijavaliwa kabisa. Kabla ya hapo nilikuwa nanunua kwa mhindi mmoja hapa Ontario lakini baadae nimeona nikusanye mwenyewe. Lengo langu ni kupata entrepreneurs serious ili baadae waache fuata viatu au nguo quality huko Nairobi.

  Ndani ya bale moja naweka pair 40. Hizi ni pair za kike,na za watoto plus few for males. Kuna sports shoes na leather shoes. Ila kwakuwa nakusanya na kufunga mwenyewe waweza order kadri upendavyo mfano waweza sema unataka vya kike tu. Mimi nitaleta tu. Maana sina shida na soko. Wakati nanunua hivi viatu ninawaambia wazungu sinunui vibovu. we buy gently used shoes. Vingine ni vipya kabisa.

  Inachukua siku 40 mpaka 45 mzigo kufika. Nasema hivi maana kwenye shipping ni kampuni nyingine. Nawapa mzigo wasafirishe lakini sina control juu yao.

  Bei itategemea na selection yako. Ila siweki viatu vyo hovyo maana sinunui viatu vya hovyo.
   
 15. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Mkubwa nimekusoma vyema, nitarudi kwa mjadala zaidi na ingekuwa vyema ukatupia e-mail yako kwa pm kama hutajali.
   
 16. I

  Incredible JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 791
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 180
  faoincredible@yahoo.ca
   
 17. ruston8919

  ruston8919 Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  niko tayari kaka nipe mchanganuo nimeku pm
   
 18. ruston8919

  ruston8919 Member

  #18
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  rejreja kwanza kaka
   
 19. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yap,kumbe wewe unaijua vzuri hii biashara!
   
 20. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Mkuu e-mail yako inanigomea kaka ikague vizuri
   
Loading...