Spinster
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 487
- 138
Nipo Dar, nataka nianze biashara ya kusambaza mayai ya kuku, yaani nakua nanunua Mayai jumla kwa wafugaji alafu nawauzia wenye maduka na wauza chips. (usafiri wa kusuply upo)
Sina uzoefu na biashara hii hivyo naomba anaejua bei ya jumla, na bei yakuuza, faída, changamoto na ugumu wa biashara hii. Pia mtaji wake na ushauri pia kwayoyote mwenye uzoefu.
N.B, Kama wewe ni mfugaji Wa kuku Wa kizungu na kienyeju na Unauza mayai na ni mkazi wa Dar es salaam .Njoo hapa tufanye tufanye biashara.