Mkuu funguka ili nasisi tuelewe fursa,unasafirisha nn?Mm nshasafirisha vitu vingine siyo samaki. Ila kuna hatua za kufuata ili uweze kusafirisha hasa vibali vya mamlaka husika. Kama huna kampuni ya kusafirishia. Unaweza kunicontact nikueleweshe vizuri