Salamu wakuu. Nina mtaji wa 3ml nataka nifanye ujasiriamali maeneo ya BUGURUNI, BUNGONI, AMANA AU ILALA BOMA, naombeni msaada wa mawazo ni biashara gani nitaweza kuifanya kwa mtaji na maeneo hayo?
Kama una nafasi na muda mwingi wa kusimamia fungua biashara chips mkuu iwe classic utarudisha hiyo pesa na kufungua multiples chips stalls soon na uta grow fastaaa