Msaada: Biashara gani nzuri Dodoma?

Msaada: Biashara gani nzuri Dodoma?

miss chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
303
Reaction score
660
Habari zenu wapendwa?

Mimi nipo Dodoma ni mdada nina mtaji wa shilingi milioni moja, tayari nmeshanunua contena lenye ukubwa unaokaribia Kama chumba kimoja Ila changamoto niliyonayo nawaza nifungue biashara gani nzuri ambayo itanilipa naogopa kupoteza mtaji nilionao maana kupata mwingine ni kazi sana.

Hivyo naomba mnisaidie kunipa idea ni kitu gani nianzishe kwenye ilo contena kwa huu mtaji wa milioni moja pia kwa anayeishi Dodoma au anayepafahamu pia ni vizuri Kama mtanisaidia na location nzuri ya kuliweka ili contena ambayo Ina population na mzunguko mzuri wa fedha.

Asanteni sana na Mungu awabariki sana kwa ushauri mtakaonipatia maana nimeumiza sana kichwa kufikiria nimeona niwashirikishe pengine mnaweza kunipa idea nzuri.
 
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo dodoma ni mdada Nina mtaji wa shilingi milioni moja, tayari nmeshanunua contena lenye ukubwa unao karibia Kama chumba kimoja Ila changamoto niliyonayo nawaza nifungue biashara gani nzuri ambayo itanilipa naogopa kupoteza mtaji nilio nao maana kupata mwingine ni kazi sana. Hivyo naomba mnisaidie kunipa idea ni kitu gani nianzishe kwenye ilo contena kwa huu mtaji wa milioni moja pia kwa
Niko changombe huku dampo stand mpya kuna hawa wananchi wanatoka vijijini wanashushwa hapa ukiweza buni kabiashara ka kuwavutia utatoboa
 
1. Masanga
2. Misosi

Hizi ndio biashara mbili zinalipa kama msimamizi ni wewe mwanzo mwisho
 
Mimi nipo Dodoma sina mtaji zaidi ya nguvu zangu na maarifa,sababu ushaandaa na kontena na mtaji ni milion 1 tu, fungua dula la vifaa vya simu sababu ni bei rahisi lakin faida yake ni nusu kwa nusu na haviozi hata soko likiwa baya
 
Back
Top Bottom