Msaada: Best huawei modem unlocker

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Vp wakuu? ivi ni software gani bora ya ku unlock huawei modem? (sio code calculator). Halafu vipi kuhusu zile modem za huawei unakuta hazina IMEI(hususan za zantel) but zina S/N pekee,tunafanyaje hapo wakuu? Msaada
 
Huoni aibu kujitangaza mwizi?
 
Kuna flasher box avatar hiyo ndo unayoweza tumia. Inauzwa kama 400,000 hivi.
 
Vp wakuu? ivi ni software gani bora ya ku unlock huawei modem? (sio code calculator). Halafu vipi kuhusu zile modem za huawei unakuta hazina IMEI(hususan za zantel) but zina S/N pekee,tunafanyaje hapo wakuu? Msaada

Hi programu ya chombo si salama kufungua huawei yako Modem. Kwa sababu baadhi ya nyakati makosa huweza kutokea. Hivyo bora unaweza kutumia kufungua code. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Mobileunlocksolutions.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua huawei yako Modem.
 
Vp wakuu? ivi ni software gani bora ya ku unlock huawei modem? (sio code calculator). Halafu vipi kuhusu zile modem za huawei unakuta hazina IMEI(hususan za zantel) but zina S/N pekee,tunafanyaje hapo wakuu? Msaada

Calvin power anayo iko jf store ila nahisi inacost hela vinginevyo lazima utumie njia za akina e2themiza,gkiwango,wickerman and kimox kimokole ambazo kila modem ina njia yake...hizi njia nilizotaja ni za customised firmware pekee lkn zile za kuweka line ikaimba NCK hizo ni mdebwedo unaingia www.a-zgsm.com una calculate online

Zantel haina manufaa kui unlock kwa hapa bongo sababu ni CDMA technology hivo haiwez fanya jaz na MAJIR NETWORKS za hapa bongo
 
Calvin power anayo iko jf store ila nahisi inacost hela vinginevyo lazima utumie njia za akina e2themiza,gkiwango,wickerman and kimox kimokole ambazo kila modem ina njia yake...hizi njia nilizotaja ni za customised firmware pekee lkn zile za kuweka line ikaimba NCK hizo ni mdebwedo unaingia A-ZGSM.COM - FREE UNLOCK CODE ONLINE una calculate online

Zantel haina manufaa kui unlock kwa hapa bongo sababu ni CDMA technology hivo haiwez fanya jaz na MAJIR NETWORKS za hapa bongo

mkuu hapo umemfafanulia vyema kabisa.
 
Back
Top Bottom