Nipo naanza ujenzi, nataka kutumia formwork za kukodisha ila msaada wa kujua bei zake kabla sijawafuata wahusika ili nisipigwe. Na anayejua wakodishaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app