Msaada: Bei ya viti vya wagonjwa

Msaada: Bei ya viti vya wagonjwa

ramona

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
174
Reaction score
264
Habari zenu waungwana,

Naomba kujulishwa bei ya viti vya wagonjwa. Kiti kimoja kinauzwa kwa pesa ngapi za Tanzania kwa anayejuwa naomba anijulishe. Naomba msiuhamishe huu uzi kwani nahitaji msaada wa haraka kwa anayejua bei zake.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom