Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
kama unapenda button tafuta e5 kama unapenda touch zipo android cheap za bei hio. Na ukitaka used chini ya hapo unapata.
lumia 820 mawakala wa hizo simu midcom east africa wanasema tsh 890000/= lkn kibongo bongo inaweza kuwa 1m
galaxy pocket duos (line mbili) model 5302 ni nzuri ila screen size ni 2.8" inatumia android version 2.3.6
Hivi NOKIA Lumia 800 & 820 kwa kibongo bongo ni Tsh ngapi mkuu?
mwc jumla ya device 6 za lumia zinazotumia wp8/rt/w8 zitazinduliwa so kama una subira hapo zitatoka simu rahisi.
Tanzania linapokuja suala la flagship bei zetu zipo juu sana labda ununue second hand. Mi sifahamu bei za hapa lakini lumia 820 ni around 470 usd ambayo inakuja 750,000 wakieka na faida bei ndo itakuja kama huyo jamaa.
Na hii 800 ni aroud 260usd kama 410,000 hivi.
Just wait lumia 720 na 520 zinakuja
Mkuu zitakuwa bora kuliko Lumia 820 na 920,au bei yake ndio inatarajiwa kuwa cheap?
pamoja mkuu, yani hiyo ni moja ya cartoon nazozipenda sana hata Preta anaijua hii ice ageMkuu avatar zako zinanipaga burudani sana..
Naona kashakaji siku hizi kanafanya kuchungulia tu!
hata tetesi tu bado labda next yearhivi kuna Ice age 5 kweli...?........nasubiri.....