tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,139
Nahitaji kujua bei za seatcover za Suzuki Escudo, je zinaanzia bei gani kulingana na ubora??
Mimi ni fundi wa seat cover. Za suzuki escudo nafanya 190000=. Ukitaka picha nakutumia. Piga 0713917472