guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,268
- 2,310
Salamu kwenu wakuu...
Kwa wale wenye kujua bei ya bati hizi za rangi (almaaruf Msauzi) mita 3 gauge 30 zinauzwa kwa bei gani kwa pisi. kampuni mbalimbali from Dragon to Alaf. Na incase nataka nikahukue moja kwa moja kiwandani wanaruhusu mzigo kiasi gani upate access.
NB. Nahitaji bati zaidi ya 175 migongo ya kawaida.
Asante.