Msaada bei ya kuagiza gari hili

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Habari ya asubuhi wakuu? Nilikuwa napitia mtandao wa Befoward na kuna bei za magari mbalimbali. Kuna gari Toyota Voxy data zake ziko hivi

Year 2004/3
Mileage 79305 km
Vehicle price $455
Save $204 (30 percent)
Tafadhali mwenye ujuzi anisaidie nikitaka kuagiza gari hili nitalipia shilingi ngapi mpaka kunifikia mkononi?.
Asante sana
 
Zama website ya TRA uangalie na pia mtandao husika huambatanisha na gharama za shipping kutoka kwao hadi kwako. Baada ya hapo jumlisha gharama zoye ( TRA+MUUZAJI) Then weka hata laki tano pembeni just in case maana bandarini kwetu wanajijua wao. Kila la jeri
 
POA MKUU NA MIMI NIMEJUA
 
Back
Top Bottom