Sawa lakini na mtoa mada mawenge, bei zinatofautiana na eneo mtu aliopo. La pili kwanini asiende dukani kuuliza ambapo ni karibu na eneo analojenga wakati maduka yamejaa?Mkandarasi sio rafiki niseme kila kitu ni ndio ndio lazima ujilidhishe hasa kama unaishi mbali na Tanzania
Mtoa Mada sio mawenge mtoa Mada ameuliza akarudia kusema anaish mbali na nchi Kuna shida?Sawa lakini na mtoa mada mawenge, bei zinatofautiana na eneo mtu aliopo. La pili kwanini asiende dukani kuuliza ambapo ni karibu na eneo analojenga wakati maduka yamejaa?
Kwani hayo material uliojengea mwanzo ulinunua kwa nani? Kwa nini usimuulize kuwa sasa hivi anauza kwa bei ganiHabari wadau kwema? been a while nimekua msomaji tu humu ila leo nimeona nitafute msaada wa kiuzoefu huko nyumbani
Currently naishi mbali na Tanzania na nilikua najaribu kufanya overview ya bei za vifaa kwa sasa maana karibu nije kumaliza kakibanda kangu ka kuunga unga na sasa hizi bei zilivyo chachamaa ndio balaa tupu.
Please kwa mwenye uzoefu kwa bei za vitu vifuatavyo anaweza share.
1. Nondo 12mm per piece
2. Kokoto nyeusi kwenye Ile tipa wanaita mende
3. Zile paving blocks(solid)
4.Mchanga wa plasta tipa (mende)
5. Bei ya PVC kwa sasa
6.Tanga stone
Tujikusanye tukamalize haka kakibanda tukijua uhalisia wa materials.
Ni hayo tu ahsanteni.
View attachment 2200369View attachment 2200376
Tatizo ujuaji mwingi sana humu, when one ask Kuna reason behind. Issue ilikua simple tu kuignore au kujibu swali.Kwani hayo material uliojengea mwanzo ulinunua kwa nani? Kwa nini usimuulize kuwa sasa hivi anauza kwa bei gani
ajabu sana aisee,
1. Nondo 12mm@ 24,000Habari wadau kwema? been a while nimekua msomaji tu humu ila leo nimeona nitafute msaada wa kiuzoefu huko nyumbani
Currently naishi mbali na Tanzania na nilikua najaribu kufanya overview ya bei za vifaa kwa sasa maana karibu nije kumaliza kakibanda kangu ka kuunga unga na sasa hizi bei zilivyo chachamaa ndio balaa tupu.
Please kwa mwenye uzoefu kwa bei za vitu vifuatavyo anaweza share.
1. Nondo 12mm per piece
2. Kokoto nyeusi kwenye Ile tipa wanaita mende
3. Zile paving blocks(solid)
4.Mchanga wa plasta tipa (mende)
5. Bei ya PVC kwa sasa
6.Tanga stone
Tujikusanye tukamalize haka kakibanda tukijua uhalisia wa materials.
Ni hayo tu ahsanteni.
View attachment 2200369View attachment 2200376
Nakutafuta kesho mapema1. Nondo 12mm@ 24,000
2. Kokoto 100,000/m³ hadi 110,000 imepanda wiki hii(ilikua 90,00/m³
3. Paving 22,000 zile za kutengenezwa kwa mashine.
4. Mchanga 300,000 hadi 350,000 inategemea maeneo
5. Pvc 200,000m²
6. Tanga stone inaanzia 28,000 mpaka 35,000( bei inategemea quality)
In case kwa kingine nicheki 0752662663