Msaada : Basi zuri kutoka Moshi kwenda Dodoma.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,691
25,827
Habari wakuu,.


Naomba msaada nina ndugu anataka kusafiri, safari yake itaanzia moshi mjini na anaelekea Dodoma.


Hivyo ningependa kufahamu basi zuri na gharama zake, pia hoteli ama nyumba nzuri za kufikia wageni sehemu ambapo anaweza kupumzika kwa hiyo jioni atakayokuwa amefikia kwani ni mara ya kwanza kabisa yeye kufika huko.


Natanguliza shukrani!
 
Shabiby tsh elf 28.kuhusu kufikia zipo sehem nyingi sana kuanzia elf 10 had laki 3+
 
Back
Top Bottom