Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Panda shabiby a.k.a sharobaro Lala npk iko hapo town sijui panaitwa oneway ni affordable and very comfortable.
Pale ni elfu 70 kweli?
Thnx kiongozi
Mkuu mimi ni mkazi bi gwa wa Dodoma, basi panda sha biby, kimbinyiko, machame, au ABC kwa hotel tumia Dodoma hotel bei inaanza 50 na ni town kabisHabari za jioni wana JF na poleni kwa majukumu!
Nipo Dar natarajia kusafiri kwenda Dodoma siku ya ijumaa kikazi.Naomba mnifahamishe usafiri mzuri wa bus(luxury) na hoteli nzuri ya bei nafuu isiyozidi 70,000 per night iliyo katikati ya mji.
Natanguliza shukrani!
Unamaanisha nn mkuu?
[emoji23] hapa hata taulo hakuna..Ukiweza nenda TANZANIA GUEST HOUSE ipo uhindini, town kabisa.
Kwa Basi to be honest, panda SHABIBY