Msaada basi linalowahi kufika Dar mapema kutokea Mwanza

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Habar za majukumu wakuu,

Ikiwa zimebak siku kadhaa turudu Dar kutokana na tangazo la mkulu hali ya mambukizi imepungua, sasa nimeona ni muda muafaka kuelekea jijini kutetea kibarua changu, je bus lipi lipo comfortable pia linawahi kufika mapema Dar likitokea Mwanza.

Ahsanteni
 
Habar za majukum wakuu, ikiwa zimebak siku kadhaa turud dar kutokana na tangazo la mkulu hali ya mambukiz imepungua, sasa nimeona ni muda muafaka kuelkea jijin kutetea kibarua changu , je bus lipi lipo comfortable pia linawah kufika mapema dar likitokea mwanza. Ahsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ufike usiku mzito hata iweje, yatatofautiana dakika tu , Tungis, Allys,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamba's..... lakini mtashushwa kwenye basi na kupandishwa kwenye vi-coaster mkifika Kibaha
 
Habar za majukumu wakuu,

Ikiwa zimebak siku kadhaa turudu Dar kutokana na tangazo la mkulu hali ya mambukizi imepungua, sasa nimeona ni muda muafaka kuelekea jijini kutetea kibarua changu, je bus lipi lipo comfortable pia linawahi kufika mapema Dar likitokea Mwanza.

Ahsanteni
Kama Unaweza nenda Shinyanga ulale kesho yake ondoka na Basi la Ally's lipo linaondoka saa Kumi na mbili kasoro Dar SAA nne tu tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom