Habari zenu wanandugu wa JF,msaada tafathali.nimedroo pesa zangu zote kwenye hii benki kutokana na kuchoshwa na huduma zao mbovu,imebaki balance ya kulinda akaunti na balance ya kufungulia akaunti,je,nikifunga akaunti watanirudishia hizo balance na process za kufunga akaunti ni zipi?nisaidieni na majibu ili nikienda niwe nimekamilika.asanteni