Msaada bandugu.....kuflash ipad

mwanafyale

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
1,641
Reaction score
539
Direct kwenye mada. Nina ipad yangu nataka kuiuza baada ya kupata kitu kipya. Nawezaje kuiflash bila password maana nimeisahau, na kwa kuwa mara nyingi nilikuwa siitumii. Kwa wale wenye ipad wanaelewa inakuwaje. Msaada please wanajamvi
 
Kwanini usiitupe tu. Huoni ikiiflash tundu la choo litaziba
 
Direct kwenye mada. Nina ipad yangu nataka kuiuza baada ya kupata kitu kipya. Nawezaje kuiflash bila password maana nimeisahau, na kwa kuwa mara nyingi nilikuwa siitumii. Kwa wale wenye ipad wanaelewa inakuwaje. Msaada please wanajamvi

Password ipo wap?? Kwenye icloud au?? Is just normal password?????
 
Password nimeisahau, nimejaribu kuikumbuka nimeshindwa. Iko kwenye itune na ilikuwa imechanganyika herufi kubwa na ndogo pamoja na vimkato yaani semi colon, colon na nyinginezo. Na hicho ndo kinachonichanganya herufi gani ni ndogo na ipi ni kubwa
 
0713614946 mpijie uyo anahusika,ila kama password yako ipo ndan ya iCloud yaan umeset password ndan ya icoud alaf huikumbuki bas usiflash kwan ukiflash mwsho utakapotaka ku activate ipad yko itakuuliza iyo password tena na km huijui basii ndo ipad ishakua blockd,bt km ni tafaut na icloud its ok yu can flash
 
Thanks kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…