Ubuntu Master
Member
- Dec 31, 2016
- 84
- 92
Mkuu ndio maana unaambiwa unatakiwa kupekecha kichwa vizuri, kwa mfano kwenye IT kuna computer graphics, hapo jiulize kama una ujuzi huo kwa nini usitengeneze katuni za kiswahili na ukaanza kuziuza kwa ajili ya watoto kibongo na nakuhakikishia wateja hutokosa, unaweza kuona kama wazo la kijinga lakini huo ndo uhalisia, tatizo ni kwamba tunaposoma tunakuwa tunafikilia mambo makubwa na malengo yasiyo na uhalisia.Kwamfano ukajiajili unakuwa unajishugulisha na nn zaidi
Naomba nieleweshe apo
DITHakuna vingene unavyo vijua wanapofundisha vzr dip
wanafundisha vizuri, ila hili swala la kufundishwa vizuri kiukweli na juhudi zako ndicho kinachohitajika sana kuliko hata lecturer, soma sana vitabu na unapaswa uwe flexible sana mambo ya teknolojia huwa yanabadilika kwa hiyo unajikuta unatakiwa uwe tayari kujifunza kitu kipya kila mara kama unataka kuwa competence.Ahsante sana mkuu, vp wanafundisha vzr
Sina uhakika na DIT na UDOM kama vinaandaa mwanafunzi bora wa IT.DIT
UDOM
MZUMBE
IAA
MOUNT MERU UNIVERSITY
UDSM
Ahsante sana mkuuwanafundisha vizuri, ila hili swala la kufundishwa vizuri kiukweli na juhudi zako ndicho kinachohitajika sana kuliko hata lecturer, soma sana vitabu na unapaswa uwe flexible sana mambo ya teknolojia huwa yanabadilika kwa hiyo unajikuta unatakiwa uwe tayari kujifunza kitu kipya kila mara kama unataka kuwa competence.
Competentwanafundisha vizuri, ila hili swala la kufundishwa vizuri kiukweli na juhudi zako ndicho kinachohitajika sana kuliko hata lecturer, soma sana vitabu na unapaswa uwe flexible sana mambo ya teknolojia huwa yanabadilika kwa hiyo unajikuta unatakiwa uwe tayari kujifunza kitu kipya kila mara kama unataka kuwa competence.
I thank a lot mh. Nimekupata mkuuIT inahusisha vitu vingi, baadhi ya hivyo ni.
Artificial intelligence
Computer Programming
Networking designing and Administration
web server management and website designing
Computer maintenance
System analysis and design
computer graphics,
Database implementation and management
na vingine vingi ambavyo chuo hamfundishwi kwa hiyo ni wewe kujiongeza, sasa kama ni kujiajili hapo ni akili yako na jinsi gani unaweza tumia hayo maarifa ku-earn pesa, mfano unaweza ukawa ni software ama website developer na hapa unahitaji kufanya kitu kinachoweza mvutia mtu kufanya kazi na wewe, matumizi ya simu sasa ni makubwa hapo inabidi ujifunze hata app developing na ku-repair simu na kompyuta, kiufupi mr ni kuumiza kichwa, hivyo ni vichache ambazo unaweza kujiajiri mwenyewe.
thank you.Competent
ure right mkuuUtaajiriwa popote wanapotumia compyuta na mawasiliano ya kielektroniki. Jaribu kufanya kitu ambacho unapenda na una uwezo nacho na pia unahisi kwamba unaweza kuonyesha utofauti na walio wengi. Usisome tu kisa kozi flani inalipa. Hata unesi na udaktari unalipa vile vile ila je unaweza kumhudumia mgonjwa wa ebola hata ukipewa mask?
πππKunigiza nyimbo kwenye flash na kuelekeza washamba kujiunga Fb na kudownload Watsap ππ