Unaweza jiajiri mwenyewe, vilevile unaweza kuajiriwa kama programmar, it manager nk. Vyio kama chuo cha uhasibu arusha, kampala university, jr insitut arusha wanatoa certifct, vigezo kwa mwaka huu sijui ila miaka ya nyuma ilikulazimu uwe na pass 4, yaani D nne na kati ya hzo d, isikosekane ya hesabu au english lazima kati ya moja iwepo au zote.