Dah em puzzled..sikuwai kujua kama mahali ni deni kubwa kiasi hiki,mwanzoni nilijua ni formalities tu."Mzee wa mke wangu alioa mke mwingine baada ya kuoa alihamia mji mwingine."
Kwan unadhan hiyo ndo sababu mzee akuwekee ugumu??
Lipa chake tuuu mzee akuruhusu kiroho safi[emoji23].
Sema nn ,mbn rahisi sana ,niivi umeshaanza vikao , ungekua bao ungetulia zako ilimradi mwanamke yuko ndan mwako angekuja kudai mahari ushamzalisha watoto wawili.
Hata ivo kama mkeo yupo tayar kwa lolote its okay wee funga naye ndoa japokua mzee hatokua amelipokea ,kitu pekee nikwamba kuna wakati unapaswa kuamus maamuzi mazito mazito bila kujali nani,na nini !!
Wazeee wengine hawafai kweli kweli.
Miss you too mi nina za kawaida tu bhanaHata wee kapeace unamiakili mingi mnoooo.
Miss you sweet
Asante kwa ushauri mkuu,kuhusu kulipa nilishasema nitalipa mwanzoni mwa mwezi wa NNE,tena hata sio laki tano nataka nilipe m1 kabisa,Mzee alichosema yeye ni kwamba hataki hela nusu,anasema kama inawezekana nichukue hiyo hela niitunze kwa mtu ikitimia ndo nimpatie!!mkuu kosa unalo kubwa , ndoa haifungwi kabla hujalipa nusu mahali ukiacha ile posa uliyo toa , mahali laazima itolewe nusu ndipo ufikrie habari ya ndoa, Unajua why mzee amekomaa na mahali yake ....??? Mzee anajua kabisa ukisha funga ndoa itakuwa ngumu kupata chake....., pia utakuwa na maujukum mengi pia , kulea familia, (kama umepanga) kulipa kodi ya nyumba , upeleke watoto shule, na n.k kwa picha hii si dhani kama utapata nguvu ya kulipa mahali. Binfsi nashuri upeleke nusu hata laki tano inawatosha sana, ukitoka hapo ndiyo mazima usije fikria tena kupeleka hela mkuu.
Kuka likee...kimsingi na kiutaratibu...ulitakiwa ujiandae kwanza kwny suala la maharii...malizana nao kwanza...kumbuka mkweo ana haki ya kuidai yote.TUsifanye kama formalities kuwa mahari haitolewi yote...kimsingi ni busara tuu ya kiafrika huwa inatumika..mkuu kosa unalo kubwa , ndoa haifungwi kabla hujalipa nusu mahali ukiacha ile posa uliyo toa , mahali laazima itolewe nusu ndipo ufikrie habari ya ndoa, Unajua why mzee amekomaa na mahali yake ....??? Mzee anajua kabisa ukisha funga ndoa itakuwa ngumu kupata chake....., pia utakuwa na maujukum mengi pia , kulea familia, (kama umepanga) kulipa kodi ya nyumba , upeleke watoto shule, na n.k kwa picha hii si dhani kama utapata nguvu ya kulipa mahali. Binfsi nashuri upeleke nusu hata laki tano inawatosha sana, ukitoka hapo ndiyo mazima usije fikria tena kupeleka hela mkuu.