Wakuu naomba mtu anaweza akanisaidia kupata link ya kudownload hiyo program ya AutoCAD ya mwaka 2009 english version kwa ajili ya 64 bit kwenye windows 7, nimejaribu angalia naona kila mahali ipo ya 32 bit na 64 bits yakifaransa,
shukran in advance
Asante sana brokama ni mwanafunzi iko free link hii hapa...Download Center ...unachotakiwa kufanya ni registration then watakutumia free serial number na product key kwa mail yako....pia hii ni autoCAD 2013 the latest better utumie hiyo kuliko hiyo ya 2009(if 2009 it isnot a must)
Asante sana bro
kama ni mwanafunzi iko free link hii hapa...Download Center ...unachotakiwa kufanya ni registration then watakutumia free serial number na product key kwa mail yako....pia hii ni autoCAD 2013 the latest better utumie hiyo kuliko hiyo ya 2009(if 2009 is not a must)