Msaada: Asili yangu inanishangaza

1. Cheki mpira vibanda umiza au nenda Taifa.
2. Nenda Bar au pool table
 
Hapo Mungu akuongoze tu.

Kua makini katika hayo unasoma ukakutana na articles zitakazokudanganya kua you're a female trapped in a man body na ndio maana unapenda kukaa mwenyewe.

Other than that jitahidi kuinteract na watu haya maisha ya kujitenga ni mzigo sana hasa ukifikia in your 30's wale marafiki uliokua nao watakua na familia na majukumu tayari. Hivyo watawatafuta wale tu wenye ukaribu nao ila wewe wakujitenga utabaki na upweke tu.

Learn to Interact Bro!
 
Pole sana, hilo ni tatizo kabisaaa.
Self isolation ni dalili mbaya ambayo inauhusiano na ugonjwa wa SONONA ambao mara nyingine unaweza kukuletea kujiua au mawazo yake(suicidal ideation)..
Hata katika mazingira ya kawaida ukiona ndugu anaanza kujitenga tenga jua kifo chake kinakaribia..
 
Wewe Wamarekani wangekuita "weirdo". Watu hatari sana kwenye jamii ambao baadhi wanaishia kuwa serial killers kama Jeffrey Dahmer, et al. Utakuwa una mapungufu ya chemicals fulani kwenye ubongo wako.
 
Pole sana ,,,,nenda kwenye makusanyiko yanayo mwabudu MUNGU upate Neno ,,,nalo litakuweka huru.
 

Pima group la damu mkuu utakuwa na A+ na herufi ya jina lako inaanza na M so mko hivyo na mnapenda kuwa makini na kila kitu kufanya kwa usahihi kila jambo watu wakujari muda sana ni watu wanao amini wakikutana na rafiki au jamaa muda wa kuongea vitu vya maana ni dk 5 au 10 zinazo zidi hapo ni polojo hivyo hawapendi polojo
 
Hakuna tatizo lolote hapo , wewe ni INTROVERT cha msingi jitahidi ujue BIG FIVE PERSONALITY yako utanishukuru.

Kwani unafanya kazi gani?
Hapo kwenye big five nigusie na mm
 
Hauna tatizo lolote bali wewe ni introvert, ni aina ya watu wa kimya wenye kufikiri zaidi na wanapata energy zaidi kutoka ndani mwao tofauti na extrovert ambao wao ni wacheshi na wanapata energey zaidi kutoka kwa wengine huwa ni waongeaji sana. Ni aina tu ya personality...google introverts utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…