msaada, APPLICATION YA KUZUIA WIZI

msaada, APPLICATION YA KUZUIA WIZI

structuralist

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,230
Reaction score
909
Wadau naomba kujuzwa juu ya application ambayo itanisaidia kwenye makundi mawili
1:kuzuia wizi. Unajua unaweza weka cm mfukoni ile unashuka kwenye gari kumbe washaibeba. Ningependa application ambayo itakuwa na uwezo wa kudetect mkono au kitu ambacho sio familiar nayo. Hii inalenga kuzuia uwezekano wa mtu kuweka mkono wake mfukoni mwangu na kuiba simu kwani nataka ikiguswa tu na an unfamiliar object ipige kelele. ( hili linalenga kuzuia tatizo- proactive)
2: Kuwa na best application ambayo itaweza locate cm yangu pale itakopotokea kuwa nimeisahau au limetokea lolote lingine.
Thnhs
 
For the first case mkubwa, hapo kuna ngoma nzito. Manake sio software tu, solution ya hiyo inahitaji combination na biometric devices ili kusense mfano foreign hands.

The second case, experiment na Avast Anti Theft, nahisi itabidi uinstall avast mobile security kwanza.
 
kwanza wezi siku hizi wanakaba so haita saidia
pili location aki fomati simu mchezo umekwisha
 
#Mayu , kama umeinstall hiyo anti-theft in rooted mode, hawezi kuiuninstall hata kwa kuformat. Na hapo unakua ushapata mda wabkutosha kuilocate, since inatumia command kwa njia ya message.
 
kwahiyo mkuu,hiyo first case haiwezekani co?
 
kwanza wezi siku hizi wanakaba so haita saidia
pili location aki fomati simu mchezo umekwisha

Ni sawa mkuu ila wizi wa kukaba ni mdogo zaidi kuliko ile ya kuibiwa kimiakimia,ila pia sio mbaya kuweka hata kama hilo litatokea itakuwa ni changamoto nyingine
 
#Mayu , kama umeinstall hiyo anti-theft in rooted mode, hawezi kuiuninstall hata kwa kuformat. Na hapo unakua ushapata mda wabkutosha kuilocate, since inatumia command kwa njia ya message.

Kwahiyo mkuu hapo ndio tunaifanyaje cm ili hata ikifomatiwa bado tuweze kuiditect?
 
Hiyo first case kwa sasa sjaona solution bado.

Ingia play store search avast Anti Theft. Je, simu yako ni rooted?
 
Mkuu hapo kwene namba moja, SI itakua kero maana kwene daladala lazima kugusana...
kwene no.2 baadhi ya simu zinakuja na huo uwezo mfano Samsung baadhi..
lakin PIA baadhi ya antivirus kama netqin zinasupport hiyo kitu
 
Tuache kwanza hiyo sehemu ya rooted, tutairudia baadae. Kwa sasa download hiyo app ya avast, ukimaliza kuijaribisha ndipo ntakapokuelekeza jinsi ya kuifanya isifutike hata kwa kuformat.
 
Ndugu mi ninayo inaitwa Netquin security katika blackberry ni komesha,pia ni anti-virus,ina options 3,ikiibiwa unataka ikulocate ilipo kupitia google map,unataka ipige kelele tu! Au unataka ikusms. Kupitia laini aliyoweka mwizi.

BURTON JORDE
 
Tuache kwanza hiyo sehemu ya rooted, tutairudia baadae. Kwa sasa download hiyo app ya avast, ukimaliza kuijaribisha ndipo ntakapokuelekeza jinsi ya kuifanya isifutike hata kwa kuformat.

Thnx mkuu,ila hii application ina mambo mengi kiasi nashindwa hata kujua kuwa wapi ni wapi. Mfano kwenye ant-theft nikiingia inaniambia pin rcovery not set, kwenye sms remote control inaleta options za lost(mark the phone as lost) found,(mark the phone as found) lock the mobile phone,unlock,message,call,e.t.c sasa ukifungua any of thoz options inakuambia weka phone target no, ni ipi sasa na na hizo options za muda sijazielewa mara 5mnts,30mnts 6hrz,etc, nisaidie hapo mkuu.
 
Ndugu mi ninayo inaitwa Netquin security katika blackberry ni komesha,pia ni anti-virus,ina options 3,ikiibiwa unataka ikulocate ilipo kupitia google map,unataka ipige kelele tu! Au unataka ikusms. Kupitia laini aliyoweka mwizi.

BURTON JORDE

vp hiyo ni kwa ajili ya blackbery tu ama imekaaje hiyo mkuu?
 
Hiyo first option uliyoona kwenye advanced system settings ni vitu ambavyo app itafanya pale ambapo mtu atakapoingiza foreign line kwenye simu (ita assume kwamba imeibiwa) au pale ambapo utaimark device kwamba imepotea kwa kutuma SMS command. Friends phone number ni namba ambazo zitatumiwa message pale vitu nlvotaja hapo juu vitakapotokea. Kwa mfano, ukitaka kuona inavyofany kazi, chukua simu ya mtu, andika message inayoanza avast pin uliyoiset ikifuatiwa na neno LOCK afu tuma kwenda namba yako ya simu. Command nyingine ni kama LOCATE, SIREN ON n.k
Fungua help kwa command zaidi na jaribu jaribu ufanyaji kazi wake.
 
mfano kama pin yako ni 2014, andika message 2014 LOCK kwenda namba yako ya simu.
 
mfano kama pin yako ni 2014, andika message 2014 LOCK kwenda namba yako ya simu.

Ok ngoja nijaribu mkuu na nikifanya hivo hopful italock,vp na ku unlock itakuwa the same procedures au maana inaweza buma?
 
Kama unataka kuona, kwenye interface ya anti-theft bonyeza menu alafu select simulate lock, itakuonyesha simu itabehave vipi pale itakapikuwa locked. Kuiunlock unaingiza pin yako kwenye sehenu utakayoonyeshwa.
 
Hiyo first option uliyoona kwenye advanced system settings ni vitu ambavyo app itafanya pale ambapo mtu atakapoingiza foreign line kwenye simu (ita assume kwamba imeibiwa) au pale ambapo utaimark device kwamba imepotea kwa kutuma SMS command. Friends phone number ni namba ambazo zitatumiwa message pale vitu nlvotaja hapo juu vitakapotokea. Kwa mfano, ukitaka kuona inavyofany kazi, chukua simu ya mtu, andika message inayoanza avast pin uliyoiset ikifuatiwa na neno LOCK afu tuma kwenda namba yako ya simu. Command nyingine ni kama LOCATE, SIREN ON n.k
Fungua help kwa command zaidi na jaribu jaribu ufanyaji kazi wake.

Sasa akibadilisha CHIP akaweka nyingine hiyo SMS itafikaje!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Unaweza trace cm kwa IMEI number hata kama watakuwa wameiformat. Cha msingi nikusave hiyo namba tu kwenye document zako za kuandika au email ili usiipoteze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom