Msaada: Application ya diploma ni kupitia TCU au NACTE

Msaada: Application ya diploma ni kupitia TCU au NACTE

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,332
Reaction score
10,913
Kuna kijana kamaliza kidato cha sita, na matokeo yametoka ambayo hayamruhusu kwenda kusomea digrii yoyote.

Anadivisheni 3 ya 16 hana D yoyote ile.
Akitaka akitaka kuapply diploma anapitia TCU au NACTE?

Naomba kujua
 
NACTE
 
Inategemeana anataka kusoma diploma ya nini, diploma za kozi za afya, kwa vyuo vya serikali haswa hufanyika kupitia NACTE. Diploma za kada zingine hufanyika kupitia vyuo husika au mamlaka husika zitoazo elimu hizo.
Maombi ya Diploma hayakuwahi na pengine hayatawahi kupitia TCU.
 
Kuna diploma zilizoko chini ya NACTE nazo zina maombi ya aina mbili-za Afya na nafikiri elimu ya vyuo vya serikali unaomba kupitia NACTE, kwa vyuo binafsi unaomba moja kwa moja vyuoni. Diploma zingine zote unaomba vyuoni moja kwa moja.
Kuna diploma za vyuo vikuu-hizi karibu zote unaomba vyuoni moja kwa moja. Hizi nazo kuna zinazofuata miongozo ya NACTE kuna nyingine hata sijui ithibati yake inatoka wapi.
 
Mbona NACTE inasumbua jamani.Hata certificate inasumbua kuapply
 
Back
Top Bottom